Mtanzania, anayekipiga Ligi Kuu nchini Uturuki, Novatus Miroshi ameendelea kuonyesha makali yake baada ya kufunga bao katika mchezo wa Ligi Kuu nchini humo akiifunga Fenerbahçe inayonorewa ...