Rwanda siku ya Jumapili imekaribisha wito wa mkutano wa kilele wa makundi mawili ya kikanda ya Afrika kujadili mzozo unaozidi kushika kasi nchini DR Congo. Kundi la waasi la M23, ambalo Umoja wa ...
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) inatarajia kukutana leo Ijumaa Januari 31 katika mji mkuu wa Zimbabwe, Harare, kwa mkutano wa kilele wa kipekee kuhusu hali ya mashariki mwa Jamhuri ...
Mkutano huo wa kilele umeipa mamlaka Troika, ambacho ni chombo cha SADC kuhusu siasa, ulinzi na ushirikiano wa usalama, kushirikisha pande zote za serikali na zisizo za kiserikali kwenye mzozo ...
“Chama kitakuwa kinaadhimisha miaka 48 ya kuzaliwa kwake, sisi Jumuiya ya Wazazi ya CCM tumepewa jukumu la kuanza chereko chereko za sherehe hizi ambazo kilele ni Februari 5, mwaka huu hapa ...
Mkoa wa Kilimanjaro, makazi ya kilele kirefu zaidi barani Afrika, Mlima Kilimanjaro, na kitovu chenye shughuli nyingi kwa wakazi wa ndani na watalii wa kimataifa, sasa wanufaika na aina rahisi ya ...