Wakati kukosekana kwa miundombinu ya usambazaji umeme ikitajwa kuwa sababu ya maeneo mengi Afrika kukosa nishati ya uhakika, ...
Baadhi ya marais wa nchi za Afrika wanaohudhuria mkutano mkuu wa nishati Afrika, wameeleza matumaini yao kuhusu mkakati ...
Wakuu wa Nchi za Afrika wameazimia kutengeneza mazingira bora ya kisera na kisheria ili kuwezesha ushiriki wa sekta binafsi katika uwekezaji kwenye mnyororo wa thamani wa sekta ya nishati.
Serikali ya DRC imelaani kitendo hicho, ikitafsiri hatua hiyo kama tangazo la vita, huku Baraza la Usalama la Umoja wa ...
Arusha. Halmashauri ya Jiji la Arusha imenunua mitambo mipya mitatu yenye thamani ya Sh1.7 bilioni kwa ajili ya ukarabati wa barabara za ndani. Mitambo hiyo iliyozinduliwa leo Januari 28,2025 ...
Siku chache baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uongozi mpya chini ya Tundu ...
Marekani. Rais wa Marekani, Donald Trump ameagiza kusitishwa usambazaji wa dawa za Ukimwi, malaria na kifua kikuu kwa nchi zinazopewa misaada na Shirika la Maendeleo la Marekani (USAID).
Waandamanaji wamesambaa katika mitaa mbalimbali jijini humo wakipambana na polisi, huku wengine wakichoma matairi barabarani.
Bodi ya Bima ya Amana (DIB), imewalipa wateja 1,391 kati ya 2,797 wa Benki ya Wakulima Kagera (KCB), waliokuwa na amana chini ...
Juhudi za kumtafuta Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu, Jumanne Muliro kuzungumzia tukio hilo zinaendelea, kwa kuwa simu yake ya ...